Mshambuliaji Masanga Masoud Cedric (kushoto), kiungo Sanga Bahende (katikati) wote kutoka St Eloi Lupopo ya DRC wakiwa na Katibu wa Simba, Patrick Kahemele (kulia) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) juzi usiku kwa ajili ya majaribio ya kujiunga na klabu hiyo. Wawili hao wamepelekwa kambini Morogoro.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment