Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na West Ham, Msenegali Demba Ba (kulia), anayechezea Shanghai Shenhua kwa sasa akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu mbaya na Nahodha wa Shanghai SIPG, Sun Xiang Jumapili katika mchezo wa mahasimu wa Ligi Kuu ya China Jumapili. Katika mchezo huo, ambao Shenhua walishinda 2-1, Ba alivunjika mguu na kwa sasa amelazwa hospitali China huku taarifa zikisema atakuwa nje ya Uwanja kwa muda usipungua miezi saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment