Mdhamini wa Simba SC, Mohamed Dewji akihutubia maelfu ya wanachama na wapenzi wa klabu hiyo Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam mwaka 2003 baada ya klabu hiyo kuitoa Zamalek ya Misri na kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kushoto ni mgeni Rasmi, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment