Kiungo kinda wa miaka 20, Bertrand Traore akishangilia na mkongwe Diego Costa baada ya kuifungia bao la kwanza Chelsea katika ushindi wa 3-0 dhidi ya RZ Pellets kwenye mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya usiku wa jana Uwanja wa Worthersee. Mabao mengine ya Chelsea inayoshinda kwa mara ya kwanza chini ya kocha mpya, Antonio Conte yalifungwa na Ruben Loftus-Cheek na Nathaniel Chalobah PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment