Kiungo Nampalys Mendy akiwa ameshika skafu ya mabingwa wa England, Leicester City baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 13 kutoka Nice ya Ufaransa, huyo akiwa mchezaji wa nne kusajiliwa na kocha Claudio Ranieri anayesuka kikosi cha Ligi ya Mabingwa, baada ya awali kuwasajili Ron-Robert Zieler, Luis Hernandez na Raul Uche Rubio PICHA ZAIDI GONGA HAPA
San Diego State football in disarray as alarming disease outbreak leaves 32
players on injury report
-
Students were informed by the university on Wednesday that San Diego County
Public Health Services has confirmed 14 cases and one probable case so far.
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment