![]() |
| Mwimbaji wa bendi ya Africans Stars 'Twanga Pepeta' Ige Moyaba akiimba katika onyesho la bendi hiyo jana ukumbi wa Sigara (TCC), Chang'ombe, Dar es Salaam usiku wa jana |
![]() |
| Waimbaji wa Twanga wakiimba jana |
![]() |
| Mpiga gitaa la solo maarufu, Adolph Mbinga akifanya yake jana |
![]() |
| Wakubwa wakipata burudani jana |
![]() |
| Wanachama wa CCM baada ya kupiga kura za Madiwani na Wabunge wa chama chao jana, walijimwaga TCC |
![]() |
| Hizi ni hisia au? Juma Mbizo jana hakuwa na furaha kabisa |
![]() |
| Enock Bwigane naye alikuwepo jana TCC |
| Hassan Moshi naye alikuwepo jana TCC |
![]() |
| Zai Simba (kulia) na shoga yake Joan walikuwepo TCC |
![]() |
| Le Mutuz alikuwepo na kimwana huyu jana TCC |











.png)
0 comments:
Post a Comment