• HABARI MPYA

  Saturday, August 22, 2015

  DOGO LAKE NIANG LILIVYOANZA KAZI SIMBA SC LEO, WENYE TIMU YAO WATAMUONA JUMATATU TAIFA


  Mshambuliaji Papa Niang aliyewasili jana kutoka Senegal kwa ajili ya majaribio ya kujiunga na Simba SC akiwa mazoezini na klabu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam

  Mdogo huyo wa mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Senegal, Mamadou Niang anatarajiwa kuichezea Simba SC Jumatatu katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DOGO LAKE NIANG LILIVYOANZA KAZI SIMBA SC LEO, WENYE TIMU YAO WATAMUONA JUMATATU TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top