• HABARI MPYA

    Monday, March 16, 2015

    AZAM FC 'WANG'ARA KIVINGINE' AFRIKA BAADA YA KUNG'OLEWA NA MERREIKH LIGI YA MABINGWA

    Viongozi wa klabu mbalimbali Afrika wakiwa katika ufunguzi wa semina ya 'Club Licensing' ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mjini Cairo, Misri. Semina hiyo inayotoa mwongozo wa kuendesha klabu kisasa, inatarajiwa kufikia tamati kesho na Tanzania imewakilishwa na mabingwa wake, Azam FC kupitia Mtendaji wake Mkuu, Saad Kawemba (wa tano kutoka kushoto mstari wa katikati). Azam imetolewa mapema tu Ligi ya Mabingwa Afrika na El Merreikh ya Sudan kwa jumla ya 3-2.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC 'WANG'ARA KIVINGINE' AFRIKA BAADA YA KUNG'OLEWA NA MERREIKH LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top