MABINGWA WA NCHI, SIMBA SC KUMENYANA NA AFRICAN LYON KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JUMATATU DAR
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC Jumatatu watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya African Lyon Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment