KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI SIMBA SC CHAJA NA MAZITO, MO DEWJI KUUNUGURMA KESHO
Leo jumamosi Novemba 14, 2020 kimefanyika kikao cha Bodi ya Wakurugenzi kujadili mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya klabu hiyo na kesho Saa 5:00 asubuhi Mkurugenzi wa Bodi, Simba SC watazungumzia na Waandishi wa Habari.
0 comments:
Post a Comment