Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere (kushoto) akiwa na Mratibu wa timu hiyo, Abbas Suleiman baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam tayari kuanza mazoezi na timu yake baada ya kuvunja kambi tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago




.png)
0 comments:
Post a Comment