KIUNGO FUNDI SAID HAMISI NDEMLA AKIPIGA MATIZI UFUKWENI MWA BAHARI YA HINDI KUJIWEKA FITI
Kiungo wa Simba SC, Said Hamisi Ndemla akicheza mpira ufukweni mwa bahari ya Hindi, Dar es Salaam kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment