Nahodha Sergio Ramos akibusu nembo ya jezi wakati akishangilia baada ya kuifungia Hispania bao la kwanza kwa penalti dakika ya 64 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Mabao mengine ya Hispania yamefungwa na Álvaro Morata kwa penalti pia dakika ya 85 na Mikel Oyarzabal dakika ya 87 na kwa ushindi huo wanaendelea kuongoza wakifikisha pointi 12 katika mchezo wa nne, wakifuatiwa na Romania na Sweden zenye pointi saba kila moja baada ya kucheza mechi nne pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment