Lionel Messi akiifungia Argentina bao la kusawazisha dakika ya 57 kwa penalti ikipata sare ya 1-1 na Paraguay iliyotangulia kwa bao la Richard Sanchez dakika ya 37 kwenye mchezo wa Kundi B michuano ya Kombe la Mataifa ya Amerika Kusini, Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Governador Magalhaes Pinto mjini Belo Horizonte, Minas Gerais. Kwa matokeo hayo. Kwa matokeo hayo, Argentina sasa inashika mkia ikiokota pointi ya kwanza katika mchezo wa pili, ikizidiwa wastani wa mabao na waalikwa, Qatar, huku Colombia ikiongoza kwa pointi zake sita ikifuatiwa na Paraguay pointi mbili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Police investigate cricket star over allegations of sexual touching
-
NSW fast bowler Ross Pawson has been stood down by Cricket NSW after police
launched an investigation into allegations of sexual touching.
25 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment