Mfungaji wa mabao matano ya Marekani, Alex Morgan (kushoto) katika ushindi wa 13-0 akimfariji mchezaji wa Thailand, Miranda Nild (kulia) baada ya kipigo hicho kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kundi F Fainali za Kombe la Dunia la Wanawake Uwanja wa Auguste-Delaune II mjini Reims, Ufaransa Jumanne. Mabao mengine ya USA yalifungwa na Samantha Mewis na Rose Lavelle mawili kila mmoja, Lindsey Horan, Megan Rapinoe, Mallory Pugh na Carli Lloyd PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment