Mwanasoka Bora wa Ulaya na Dunia, Cristiano Ronaldo akiinua juu taji la Super Cup ya Ulaya kusherehekea pamoja na Kombe la La Liga walilotwaa msimu uliopita baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu kufuatia mchezo dhidi ya Valencia uliomalizika kwa sare ya 2-2. Wengine ni Sergio Ramos (kulia) na taji la la Liga na Marcello na aliyebeba Kombe la Mfalme. Real pia ni mabingwa wa dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment