Kiungo Alex Oxlade-Chamberlain akitabasamu na jezi ya klabu yake mpya, Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 35 kutoka kwa wapinzani wa Ligi Kuu ya England, Arsenal. Nyota huyo wa England sasa atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 120,000 kwa wiki na kwa usajili huu Liverpool inaipa pigo lingine baada ya wiki iliyopita kuichapa 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment