Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akipasua katikati ya mabeki wa Real Betis, Alex Alegria (kushoto) na Mcolombian Juan Narvaez usiku wa Jumapili katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Barcelona ilishinda 2-0 mabao ya Gerard Deulofeu aliyejifunga baada ya kubabatizwa na mpira uliopigwa na Alin Tosca dakika ya 36 na Sergi Roberto dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment