Kiungo wa Manchester City, David Silva (kulia) akipiga shuti kuifungia bao la kwanza Hispania dakika ya 13 usiku wa jana katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Israel kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Vitolo dakika ya 45 na ushei, Diego Costa na Isco wakati la Israel lilifungwa na Lior Refaelov dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment