Mwenyekiti wa Kikosi cha Kuzuia Magenzo Zanzibar (KMKM) Sports Club Kapteni Khatib Khamis Mwadini akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu mbio za Kilomita 10 zitakazofanyika tarehe 29 mwezi huu kuanzia Makao Makuu ya kikosi hicho Kibweni na kumalizikia Uwanaja wa Maisara Mjini Zanzibar
0 comments:
Post a Comment