Kiungo wa Italia, Daniele de Rossi akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 82 baada ya Eder kuangushwa na Sergio Ramos wa Hispania timu hizo zikitoa safre ya 1-1 katika mchezo wa Kundi G kuwania tiketi ya Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi uliofanyika usiku wa jana Uwanja wa Juventus mjini Turin. Hispania walitangulia kwa bao la Vitolo dakika ya 55 akitumia vizuri makosa ya gwiji wa Italia, Gianluigi Buffon PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Verstappen takes first 2026 pole ahead of Hamilton
-
Max Verstappen takes his and Red Bull's first pole position of 2026 with an
imperious performance in qualifying at the Bahrain Grand Prix in Malaysia.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment