Mshambuliaji wa Hispania mzaliwa wa Brazil, Diego Costa (katikati) akiwatoka mabeki wa Albania usiku wa jana katika mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Loro Borici, Shkoder. Hispania ilishinda 2-0, mabao ya Costa na Nolito PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment