Wachezaji wa Celta Vigo wakishangilia ushindi wao wa 4-3 dhidi ya FC Barcelona usiku huu Uwanja wa Balaidos mjini Vigo. katikati yao ni mchezaji wa Barcelona, Neymar. Mabao ya Vigo yamefungwa na Pione Sisto, Iago Aspas, Jeremy Mathieu aliyejifunga na Pablo Hernandez wakati ya Barca yalifungwa na Gerard Pique mawili na Neymar kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment