Kinda wa miaka 20, Andre Silva (kulia) akipongezwa na Nahodha wake, Cristiano Ronaldo baada ya kuifungia hat trick Ureno katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Faroe Islands kwenye mchezo wa Kundi B Uwanja wa Torsvollur, Torshavn, Streymoy usiku wa jana. Silva alifunga dakika za (12, 22, 37), wakati mabao mengine ya Ureno yalifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 65, Joao Moutinho dakika ya 90 na ushei na Joao Cancelo dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment