Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Sunderland, Patrick van Aanholt kwenye boksi na kuwa penalti ambayo ilifungwa na Sergio Aguero dakika ya nne katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Man City iliyo chini ya kocha mpya, Pep Guardiola ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Aguero na Paddy McNair aliyejifunga dakika ya 87 wakati la Suderland lilifungwa na Jermain Defoe PICHA ZAIDI GONGA HAPA
College football fan hurt after injured player shockingly launches helmet
into stands in frustration
-
University of North Carolina star Kaleb Cost wasn't the only one to suffer
from his injury during Saturday's game. The player shockingly launched his
helme...
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment