CHIBE CHIBINDU; BEKI MWINGINE ALIYEKUWA ANAFUNGA YANGA
Beki wa kushoto wa Yanga, Chibe Chibindu (kushoto) akipongezwa na mshambuliaji Iddi Moshi baada ya kufunga bao zuri la pili kwa shuti la mbali dhidi ya Kajumulo WS katika mechi ya Ligi Kuu ya Muungano Oktoba 24, mwaka 2000 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
0 comments:
Post a Comment