Mshambuliaji wa Chelsea, Eden Hazard (kushoto) akifumua shuti la nguvu kuisawazishia timu yake usiku wa Jumatatu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Tottenham Hotspur Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Gary Cahill, wakati ya Spurs yamefungwa na Harry Kane na Son Heung-min na kwa sare hiyo Leicester City wanakuwa mabingwa wapya wa England kwani pointi zao 77 haziwezi tena kufikiwa na Spurs PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment