Mwanamitindo maarufu Mtanzania anayeishi Ufaransa, Miriam Odemba akishiriki onyesho la Cannes Film Festival mjini Cannes, Ufaransa mwishoni mwa wiki. Miriam aliibuka mwaka 1997 aliposhinda Miss Temeke na hadi sasa bado anang'ara kwenye anga za ulimbwende na mitindo
0 comments:
Post a Comment