Nahodha mpya wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwaongoza wenzake leo kwa mara ya kwanza tangu apewe wadhifa huo katika mazoezi kwenye Uwanja wa Omnisports Idriss Mahamat Ouya mjini D’jamena kujiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika Jumatano kwenye Uwnaja huo PICHA NA BARAKA KIZGUTO
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment