Kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas akishangiliapu baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha katika sare ya 2-2 na West Ham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Fabregas pia wakati ya West Ham yamefungwa Manuel Lanzini na Andy Carroll PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment