Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo, Emmanuel Adebayor akiwa ameshika jezi ya Crystal Palace baada ya kukamilisha uhamisho wake jana kwa Mkataba wa hadi mwishoni mwa msimu, ambao unaweza kuongezwa iwapo atafanya vizuri. Adebayor amekuwa nje ya Uwanja tangu mwanzoni mwa msimu baada ya kuachwa Tottenham Hotspur ingawa itaendelea kumlipa Pauni 30,000 kwa wiki badala ya 100,000 kwa sababu bado ana Mkataba nayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment