Mwanzo > HABARI ZA ULAYA > TAMMY ABRAHAM APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 3-1 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA KIMATAIFA HABARI ZA ULAYA TAMMY ABRAHAM APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 3-1 CHELSEA imetinga Hatua ya 16Bora Kombe la FA England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi Luton Town jana Uwanja Stamford Bridge Jijini London.Mabao ya Chelsea jana yote yalifungea na Tammy Abraham dakika ya 11, 17 na 74, wakati bao pekee la Luton Town lilifungwa na Jordan Clark dakika ya 30. Monday, January 25, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA KIMATAIFA HABARI ZA ULAYA
0 comments:
Post a Comment