• HABARI MPYA

    Sunday, January 17, 2021

    TAMBWE WA SIMBA NA YANGA NA SONG ALIYEWIKA ARESENAL NA BARCELONA SASA WACHEZA LIGI MOJA DJIBOUTI

    Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga za Dar es Salaam, Amissi Tambwe (kulia) akiwa na kiungo wa zamani wa Arsenal ya England na Barcelona ya Hispania, Alex Song nchini Djibouti ambako wote wanacheza kwa sasa. 


    Tambwe (32) anachezea As Police Nationale, wakati Song (33), katika klabu ya  Arta/Solar7 yupo pamoja na mkongwe mwingine wa Cameroon, beki Dany Nounkeu (34) aliyewahi kuchezea, Metz, CSO Amnévill, Pau FC, Toulouse za Ufaransa, Gaziantepspor, Galatasaray, Beşiktaş za Uturuki na Granada ya Hispania.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAMBWE WA SIMBA NA YANGA NA SONG ALIYEWIKA ARESENAL NA BARCELONA SASA WACHEZA LIGI MOJA DJIBOUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top