SIMBA SC WAZURU AZAM TV KUELEKEA 'SIMBA DAY' KESHO TAIFA
Kikosi cha Simba SC, kikiwa makao makuu ya Azam TV, Tabata, Dar es Salaam leo. Kikosi hicho kimezuru hapo katika mfululizo wa wa wiki ya Simba, kuelekea tamasha la Simba Day kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambako watamenyana na SC Villa ya Uganda.
0 comments:
Post a Comment