JUVE WABEBA SUPER CUP YA ITALIA BAADA YA KUICHAPA 2-0 LAZIO
Wachezaji wa Juventus wakisherehekea ushindi wa Super Cup ya Italia, baada ya kuifunga 2-0 Lazio mabao ya Mario Mandzukic na Paulo Dybala, hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kwao kutwaa taji hilo ndani ya miaka minne.PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment