Mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Hamburg, mchezo wa ufunguzi, Ligi Kuu Ujerumani, maarufu kama Bundesliga usiku huu Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern yamefungwa na Mehdi Benatia, Thomas Muller mawili na Douglas Costa. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How many points did Victor Wembanyama score? Spurs vs. Hawks stats
-
Victor Wembanyama led the Spurs in points and rebounds despite coming off
the bench in the victory over the Hawks.
46 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment