TWIGA STARS YACHAPWA 3-1 NA UGANDA MECHI YA KIRAFIKI LUGOGO
TIMU ya soka ya taifa ya wanawake Tanzania, Twiga Stars leo imechapwa Mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Uganda ‘The Crested Cranes’ Uwanja wa Omondi, Lugogo Jijini Kampala.
0 comments:
Post a Comment