Mwanzo > YANGA > SIMBA YA TISA AFRIKA, YANGA YA 18 ORODHA MPYA YA CAF HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA YANGA SIMBA YA TISA AFRIKA, YANGA YA 18 ORODHA MPYA YA CAF SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya viwango vya ubora wa klabu barani kwa msimu wa 2022-2023, huku Simba SC ikiwa namba tisa na wagani wao, Yanga nafasi ya 18. Monday, July 24, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA YANGA
0 comments:
Post a Comment