YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI JONÁS MKUDE KUTUA JANGWANI
KLABU ya Yanga imemtambulisha kiungo mkongwe, Jonás Gerald Mkude kutoka Simba SC kuwa mchezaji wake mpya wa tatu baada ya mabeki, Nickson Kibabage kutoka Singida Fountain Gate na Gift Fred kutoka SC Villa ya kwao, Uganda.
0 comments:
Post a Comment