YANGA SC YAMSIMAMISHA UANACHAMA 'MAMA MANJI' KWA TUHUMA ZA KUMPAKAZA "SHOMBO" DK MSOLLA
KLABU ya Yanga imemsimamisha uanachama Bahati Mwakalinga 'Mama Manji' kwa tuhuma za kumpakazia maneno ya uongo, Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla na kumtolea maneno ya kuudhi.
0 comments:
Post a Comment