BAADA YA UWANJA WA TAIFA KUFUNGWA, MECHI ZAKE ZOTE ZA LIGI KUU ZAHAMISHIWA UWANJA WA UHURU
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imesema kwamba kufuatia Uwanja wa Taifa kufungwa, mechi zote zilizokuwa zichezwe kwenye Uwanja huo zitachezwa Uwanja jirani, Uhuru Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment