AZAM FC KUMENYANA NA MAFUNZO YA ZANZIBAR KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JUMAMOSI CHAMAZI
VINARA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Azam FC, wanatarajia kukipiga dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Jumamosi saa 1.00 usiku.
0 comments:
Post a Comment