Wachezaji wa Manchester City wakifurahia na taji lao la Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika ya 120 katika fainali nzuri iliyofanyika Uwanja wa Wembley usiku wa jana. Waliofunga penalti za Manchester City ni İlkay Gundogan, Sergio Aguero, Bernardo Silva na Raheem Sterling, wakati Leroy Sane pekee alikosa huku za Chelsea zikifungwa na Azpilicueta, Emerson na Edin Hazard huku Jorginho na David Luiz wakikosa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment