Vinicius Junior akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Valladolid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu, kabla ya Nahodha Sergio Ramos kufunga la pili kwa penalti dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Could 'massive' Munyua win spark darts boom in Kenya?
-
David Munyua became an instant cult hero at Alexandra Palace on Thursday
following a shock win over Mike de Decker at the PDC World Championship.
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment