Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia ushindi wa wa 4-0 dhidi ya Melilla kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme jana Uwanja wa Alvarez Claro mjini Melilla. Mabao ya Real iliyocheza mechi ya kwanza jana chini ya kocha wa muda, Santiago Solari wa timu B baada ya kufukuzwa kwa Julen Lopetegui yalifungwa na Karim Benzema dakika ya 28, Marco Asensio dakika ya 45 na ushei, Álvaro Odriozola dakika ya 7p na Cristo Gonzalez dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment