Nyota wa Argentina, Lionel Messi akiifungia timu yake kwa shuti la mpira wa adhabu kutoka umbali wa mita 25 kuipatia bao la pili katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Nusu Fainali Copa America dhidi ya wenyeji, Marekani asubuhi hii Uwanja wa NRG mjini Houston, Texas hilo likiwa bao lake la 55 kwa timu ya taifa na kuweka rekodi ya mchezaji aliyeifungia mabao mengi zaidi nchi yake. Mabao mengine ya Argentina yamefungwa na Ezequiel Lavezzi na Gonzalo Higuain mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment