Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos (kushoto) akiwa ameshika Kombe la Santiago Bernabeu kwa pamoja na mchezaji mwenzake, Marcelo Uwanja wa Santiago Bernabeu jana baada ya kuifunga 2-1 Galatasraay ya Uturuki. Mabao ya Real yalifungwa na Nacho dakika ya 17 na Marcelo dakika ya 81, wakati bao pekee la wageni lilifungwa na Wesley Sneidjer dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment