BASATA YAIFUNGULIA MISS TANZANIA, LUNDENGA MENO YOTE NJE
Mkurugenzi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari leo wakati wa kutangaza kuifungulia kampuni ya Lino International Agency kuendesha shindano la Miss Tanzania. Kushoto ni Mkurugenzi wa Lino, Hashim Lundenga.
0 comments:
Post a Comment