Tanzania, Taifa Stars imefungwa mabao 2-1 leo na Libya katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye viwanja vya hoteli ya The Green Park mjini Kartepe, Uturuki. Bao la Stars inayofundishwa na Charles Boniface Mkwasa lilifungwa mshambuliaji John Bocco 'Adebayor'. Stars imeweka kambi Uturuki kujiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria Septemba 5, mwaka huu mjini Dar es Salaam.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment