MADEE AKITUMBUIZA KUHAMAISHA MASHABIKI WANEDE YANGA NA MONASTIR
MSANII maarufu, Madee Ali akitumbuiza kwenye tamasha la kuhamasisha mashabiki wa Yanga kujitokeza kwenye ya Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Monastir ya Tunisia Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment